"Makasiriko" Letra
"Makasiriko" tiene letras en swahili idioma.
El significado "Makasiriko" proviene del idioma swahili y actualmente no se ha convertido a la traducción al inglés.
Artist: JOMIRESO VOICES TZ ( +255 765 766 438)
Song : Makasiriko
COMPOSER: Majogoro
Audio : Pro EPHRAIM (+255 745 772 120)
Video : Dr. RJ (+255769 672 995)
Mtu mmoja alisema *”maisha ni sanaa ya kujua kuanza siku nzuri na kumaliza vizuri siku mbaya”* na siri pekee ya sanaa hiyo ni kuacha mambo yote kwa Muumba !Hakuna sababu ya kufupisha maisha yetu kisa kujitaabisha mioyo na akili
Tunajihangaisha saana tunafurahi kidogo saana ,... tunaumizwa na matatizo ya kijamii ambayo tungeweza kuyapuuza na kuishi kwa amani
#jomiresovoicestz
#makasiriko
#sdasongs
#Gospel
#duniatunapita
#achayadunia
#tzgospelsongs
#choirsongs
#sdagospel
#dunia
#jomireso